Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteuwa Sophia Mjema kuwa mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.