Staa wa Nigeria, Davido ameonekana katika kipande maarufu cha video kinachosambaa kwa kasi, akimpiga mtu mmoja anayeaminika kuwa ni shabiki wa Uingereza.

Katika kipande hicho cha video, Davido anaonekana akiwa na watu wake ndani ya nyumba huku wakimsulubu mtu huyo kama mwizi aliyevamia ndani kukwapua ‘saa za dhahabu’ za mwimbaji huyo.

Hata hivyo, wapo wanaotia shaka juu ya tukio hilo wakieleza kuwa inaweza kuwa ni ‘kick’ ya kupata nafasi ya kutengeneza habari zaidi nchini Uingereza. Yote yatajulikana hivi karibuni.

Rais Magufuli ashusha neema kwa wafanyakazi
Makonda asema hataki kuwaona wasanii nyumbani kwake, ni baada ya kumpotezea