Stori kubwa zililo ‘Make Headlines’ katika Magazeti ya TZ leo ni pamoja na Gwajima awindwa >>> 

“Watu sita wanaodhaniwa kuwa askari wa Jeshi la Polisi, wamevamia na kuizingira nyumba ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini, Josephat Gwajima.

Tukio hilo linadaiwa kutokea jana mchana katika makazi ya askofu huyo yaliyoko eneo la Salasala, Dar es Salaam.

Inadaiwa watu hao walifika nyumbani kwa askofu huyo wakiwa katika gari aina ya Toyota Land Cruiser, na kwenda kugonga geti ili wafunguliwe waingie ndani” – Gazeti Mtanzania

Jordi Alba Atamani Kuona Pedro Akirejea FC Barcelona
Video: Ray C akamatwa na Polisi, ashindwa kuwatambua kisa ‘Unga’