DJ Jors Bless wa 100.5 Times Fm ameachia msululu (series) ya mix za video kali za muziki ambayo kwa uhakika ukiiangalia itakupa ‘mood’ nzuri ya kuimaliza wiki na kuikaribisha vizuri wikendi, kama muziki ni sehemu ya starehe na tiba ya kisaikolojia unayoikubali.

Ameibatiza mix hii ya video jina la Purple Mix, na hii ni Vol. 2.

Enjoy:

DJ JORS BLESS PURPLE MIX 2 from Dj Jors Bless on Vimeo.

 

Vyanzo vitano vya bahati mbaya.
Ahadi za manji kwa timu ya yanga.