JPM, Majaliwa msafara mzito anga za Mbowe, Janga jipya kwa wenye vyeti feki, Mafao hatarini kuyekwa mifukoni, NSSF, PSPF, GFPF, LAPF, CUF watoa masharti kwa jeshi la Polisi, Kina Maalim Seif watinga kwa IGP Mangu…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 30, 2017.

Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania.

Bofya hapa kutazama

Trump awashambulia wanahabari akiadhimisha siku 100
Magazeti ya Tanzania leo Aprili 30, 2017