Serikali imekitoza faini kiwanda cha kutengeneza kinywaji cha soda aina ya Pepsi kilichopo Kiwalani jijini jijini Dar es Salaam, kimetozwa faini ya shilingi milioni 25 na kutakiwa kulipa faini hiyo ndani ya siku kumi na nne kwa kosa la uchafuzi wa mazingira, kwa kutiririsha maji machafu yenye kemikali katika mtaro wa maji ya mvua ya mtaa wa kiwalani.

Claudio Ranieri: Riyad Mahrez Haendi Popote
Demba Ba: Nitaendelea Kucheza Soka