Maalim Seif, Prof. Lipumba ni msuli msuli, Arobaini za vyeti feki leo, JPM kukabidhiwa majina ya walioghushi, Zaidi ya watumishi 10,000 roho mkononi, Walimu waswekwa mahabudu Lushoto, CWT wacharuka vikali, Serikali yasisitiza wanafunzi wanaofeli waendelee na masomo…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 28, 2017.

Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

 

Tazama hapa yanayojiri Bungeni Dodoma leo Aprili 28, 2017

Profesa Lipumba Aijibu Kambi Ya Maalim Seif Iliyopanga Kufanya Usafi ‘Ofisini Kwake’
Lukuvi abaini madudu Manispaa ya Musoma Mjini