Majambazi wenye mabomu wauawa, ni baada ya kuvamia nyumba ya meja JWTZ, Chadema wahoji kila kona sakata la Lissu na Saanane, ni baada ya Mwigulu na IGP Sirro kuzungumzia kutoweka na watu wanaoshambulia , kutishia wanasiasa, Madaktari watatu wamnusuru Manji jela…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 7, 2017. Tazama video

Marekani yaiondolea vikwazo Sudan
Polisi mbaroni kwa kumnyanyasa kingono mtoto wa kike akiwa selo