Mapya ya Lissu, Mbowe aja na utaratibu mpya, ripoti afya yake kuanikwa, Polisi wamshusha Msingwa jukwaani, alikuwa akihutubia mkutano wa hadhara, Rais aamuru mwanawe auawe, Saa sita za operesheni nyingine ya Tundu Lissu jijini Nairobi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 25, 2017. Tazama video.

Mwambusi akana kutaka kurejea Mbeya City
Trump apiga marufuku raia Korea Kaskazini kuingia Marekani