Mapya yaibuka ajali iliyoua wanafunzi 33, Basi lililowabeba lazua kizungumkuti, Mkuu wa shule washtakiwa kwa makosa matano, Mvua yaliza wabunge, Wataka shughuli za bunge ziahirishwe ili kujadili maafa, Polisi asombwa na pikipiki yake, familia 150 zahaha Pemba, Chadema yaandaa kongamano, CCM yakataa kushiriki…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 13, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama.

Video: Itazame 'Zezeta' ya Rayvanny aliyoshiriki Sugu
Magazeti ya Tanzania leo Mei 13, 2017