Kituo cha haki za binadamu (LHRC) leo julai 21 2016 kimetoa taarifa ya hali ya haki za binadamu kwa kipindi cha nusu mwaka.

Katika hali isiyo ya kawaida, matukio ya unyanyasaji kwa wanawakwe imeelezwa kuendelea kuwa tishio kwa ustawi wao.

Akitoa taarifa hiyo mapema leo Mwanasheria wa LHRC amesema katika kipiondi cha nusu mwaka taarifa ya jeshi la Polisi imeonyesha matukio 7,475 ya unyanyasaji wa wanawake yameripotiwa.

Kozi Ya Waamuzi Sasa Julai 25, FIFA Yateua Wasimamizi Watatu
Paper Towel Absorbency Lab Report