Mauaji tata ya askari yazua tafrani Dar, wananchi wadai kupigwa, kudhalilishwa, mwanamke avua nguo hadharani kuonyesha majeraha, Ufahari wamtokea puani kigogo TRA, akutwa akimiliki magari 19 ya kifahari, Mkuchika awakoromea wanaoitishia Takukuru…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 25, 2017. Tazama video

Bulaya: Mmoja CHADEMA sawa na mia CCM
Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 25, 2017