Mbowe maji ya shingo, Mrithi wa Lubuva NEC afunguka, Asema kuteuliwa na Rais hakumfanyi aipendelee CCM… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 23, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Video: Mbowe maji ya shingo, Mrithi wa Lubuva NEC afunguka...
Video: Tamko la Jeshi la Polisi nchini kuelekea X-Mass na mwaka mpya