Serikali imetangaza bajeti yake ya mwaka 2016/2017, moja ya vipaumbele vya ukusanyaji kodi imelenga kutoka kwenye kodi za wabunge, Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ameonyesha kupinga hatua hiyo ya serikali kuondoa msamaha wa kodi kwenye mafao ya wabunge.

Lugola – ’Kila mwezi tunakatwa kodi ya mapato alafu mafao yetu nayenyewe yakakatwe kodi? mnataka turudi mtaani alafu muanze tena kutucheka. Lazima wabunge tulinde maslahi yetu, hatuwezi kukubali

Joe Budden: Nicki Minaj, Meek Mill ni Wapumbavu
Zitto awakaanga wabunge wenzake