Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Kilosa, Asajile Mwambambale amenusurika kutolewa madarakani na Rais John Magufuli baada ya kulalamikiwa na wananchi pamoja na viongozi wenzake juu ya utendaji kazi na ugawaji wa ardhi.

Hayo yamejiri baada ya Mkurugenzi huyo kuchukua maamuzi ya kugawa ardhi kwa mfugaji mmoja sehemu kubwa na kuwaachia wakulima sehemu ndogo kinyume na sheria…Bofya hapa kutazama

Iran yataka Trump akamatwe kwa kosa la ugaidi
Siri mgao wa umeme: Waliokausha maji Mtera wafukuzwa na Magufuli