Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake ‘Shika Adabu Yako’, wimbo ambao BASATA iliufungiwa kuchezwa kwenye vituo vya Radio na Televisheni.

Video hii iliyoongozwa na Nicklass ni dhahiri kuwa itapatika kwenye mitandao pekee na haitaweza kushika mawimbi ya kituo chochote cha Runinga nchini.

Iangalie hapa:

TANESCO yawasilisha maombi kupandisha bei ya umeme
CUF kuandamana kupinga uchaguzi wa Marudio Zanzibar