Rapa Nzaya Don Ngosha ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Achana na Mimi’, aliyomshirikisha ‘Mirror’. Wimbo umetayarishwa na Mr. T-Touch wa Free Nation, na video imeongozwa kampuni ya Kwetu Studio.

Iangalie hapa:

 

 

Habari Mpasuko: Naibu Spika, Dk. Tulia anusurika kifo baaa ya kupata ajali
Mafunzo FC Yawafuata AS Vita