Vanessa Mdee leo ameshusha ‘package’ ya mzigo mpya wa video na audio ya wimbo wake ‘Cash Madame’.

Cash Madame ni wimbo anaozungumzia mwanamke anajiweza kifedha, ikiwa ni kinyume kabisa na wimbo wa Mwana FA ‘Dume Suruali’ alioshiriki kuung’arisha.

Wimbo umepikwa na Ekelly.

Rais Magufuli, Dangote kuteta Ikulu baada ya kiwanda chake kuzima
Shisha yatajwa chanzo cha mapato Serikali