Tundu Lissu – Mungu alisema sitakufa, Serikali yalipa madeni bil. 190/-, Mfalme wa Oman aahidi neema kwa Magufuli, Wanafunzi 10,000 vyuo vikuu wapata mikopo, Unyama kibiti waua watatu, wadaiwa kukutwa na mabomu, SMG na rundo la risasi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 19, 2017. Tazama video

Dkt. Ndugulile awaonya watumishi wa afya wenye lugha chafu
Odinga atangaza maandamano Oktoba 26