Mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta tayari umewasili katika viwanja vya Karimjee, Dar es salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewaongoza viongozi mbalimbali wa Serikali na wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mzee Sitta.

Video: Ombi la Makonda kwa Rais Magufuli wakati wa kuaga mwili wa Samuel Sitta

Video: Ombi la Makonda kwa Rais Magufuli wakati wa kuaga mwili wa Samuel Sitta
Azam FC Kusuka Kikosi Cha Nguvu Raundi Ya Pili