Ney wa Mitego amgusa JPM, Dkt. Mwakyembe aeleza Rais alivyoupokea wimbo wake, amwita Dodoma akamuongezee mashairi, Mwigulu: Aliyemtishia Nape bastola siyo Polisi, Kashfa ya Faru John kuwasomba wawili…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 28, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

FA Waikwangua Manchester City
Viongozi wa dini waingilia kati sakata la usafirishaji mchanga wa dhahabu