Tazama video nyuma ya pazia, Diamond Platinumz alivyokuwa akitengeneza kichupa chake kinachofanya vizuri katika chat za muziki  ‘Eneka’ na ni moja ya vedio kali.

Matayarisho ya nyimbo hiyo yamemgharimu fedha nyingi sana ambapo Diamond hakuwa tayari kuweka wazi gharama hizo.

Diamond ni mfano wa kuigwa anayeenzi msemo wa wahenga usemao, Ukiona vyaelea vimeundwa.

Lakini pia mmoja wa wasanii toka kundi la Yamoto Band, Maromboso ambalo limesambaratika hivi karibuni ameonekana kuwepo pindi matayarisho ya video yakiendelea.

Inawezekana hivi karibuni akasainishwa na lebo ya Wasafi, tukae mkao wa kula tuone.

Tazama nyuma ya pazia Eneka ya Diamond Platinum.

Magazeti ya Tanzania leo Julai 19, 2017
Samia Suluhu azindua huduma mpya ya fedha ya TTCL PESA