Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha wakuu wanne wapya wa mikoa aliowateua mwishoni mwa wiki kufuatia mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya 139 waliotangazwa.

Mwishoni mwa wiki hii nao watakula kiapo cha maadili ya uongozi na kupewa maelekezo mengine kabla ya kuapishwa na wakuu wa mikoa watakaporejea katika mikoa yao. Hapa akisalimiana baada ya kuwaapisha Wakuu hao wa mikoa kisha picha za pamoja zikifuata

Utumbuaji majipu watua Zanzibar, vigogo 12 watupwa nje
Ombi la kukifuta Chama Cha Wananchi (CUF) latua Bungeni