Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam amepokea msaada mwingine ambao utawezesha kutoa msongamano mkubwa uliopo katika hospitali za Dar es salaam kwa kujenga jengo lenye ghorofa tatu katika hospitali ya Amana, Temeke na Kinondoni. Na kila jengo litakuwa na uwezo wa kubeba wagonjwa 150 huku likiwa na vyoo vya kisasa na lenye mpangilio mzuri

Saudia Kuweka Mfumo Mpya kwa Mahujaji
Pele Aingia Kwenye Mkumbo Wa Kumbembeleza Messi