Serikali imepokea shilingi bilioni 23 kama gawio katika hisa zake ilizowekeza katika taasisi za fedha na kampuni za mafuta nchini.

Gawio hilo lilikabidhiwa na wawakilishi wa kampuni hizo kwa waziri wa fedha na mipango, Dkt Philip Mpango.

Puma ilikabidhi bilioni 4.5, Tiper bilioni 2 na NMB bilioni 16.5

Mbunge wa Chadema akana elimu inayomtambulisha Bungeni
Simba Yafanikiwa Kwa Jamal Simba Mnyate