Kampuni ya Tigo imetangaza ofa mpya ambayo watumiaji wote wa simu ambazo ni bandia watapata simu halisi kila watakapo tembelea duka la huduma kwa wateja la Tigo kubadilishwa simu hizo.

Akitangaza Ofa hiyo Meneja wa vifaa wa Tigo, Mkumbo Myonga alisema kuwa kampeni hiyo imo katika mikakati ya kuisaidia mikakati ya Serikali dhidi ya bidhaa bandia.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) imetangaza kuzima simu zote bandia na ambazo siyo za viwango vinavyakubalika kuanzia juni 16 mwaka huu.

Bonta aeleza sababu ya Mwalimu Nyerere kukataa kukutana na Muhammad Ali
CUF kuwaponza Watumishi Wanaofanya ‘Vituko’ Pemba