Waliofukiwa siku 3 mgodini wasimulia, Maalim Seif: Nitakuwa Rais Z’bar, aeleza alivyozunguka ulimwenguni kudai haki yake, Zanzibar kuagiza mchanga nje… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 30, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Shibuda: Wanasiasa someni alama za nyakati
AFCON 2017: Michel Dussuyer Ang'atuka