Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda leo Oktoba 8, 2021 ametembelea kiwanda cha Minjingu Mines Fertilizer Limited Babati mkoani Manyara akiwa na lengo la kuona hali ya uzalishaji wa mbolea kiwandani hapo.

Waziri Mkenda amesema kuwa ni muhimu kutembelea kiwanda hicho kutokana na kipindi ambacho wakulima wanaelekea msimu wa kuanza kilimo.

Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021,
Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi katika Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021, Katikati ni kurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans
Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akimuonesha jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021
Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda  na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans wakizungumza mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021
Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akimsikiliza  Mkurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans alipokuwa akimuonesha bei mbalimbali za mbolea katika kipeperushi wakati akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimuonesha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda aina mbalimbali za mbolea wakati alipokuwa  akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021
Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans alipokagua mgodi unaochimbwa madini ya kutengenezea mbolea.

Rais Samia afanya uteuzi
TBS yaandaa kiwango Cha matofali