Tuzo za BET 2018 mwaka huu zilizofanyika usiku wa kuamkia leo nchini Marekani jijini Los Angels katika ukumbi wa Microsoft ambapo wasanii mbalimbali wameweza kujinyakulia tuzo mbalimbali akiwemo Davido kutoka Afrika nchini Nigeria.

Card B ni msanii wa muziki wa Hip Pop aliyekuja kwa kasi sana na kubadili mwelekeo wa watu katika kushabikia muziki wa hip pop hasa kwa upande wa kike, kwani mara zote tuzo hiyo imekuwa ikinyakuliwa na mwanadada Nicky Minaj ambaye amekuwa akichukua tuzo hiyo miaka yote.

Pia Raia wa Mali, Mamoudou Gassama, aliyepata umaarufu mara baada ya kumuokoa mtoto ghorofani ni moja kati ya watu waliojinyakulia tuzo usiku wa BET Awards, ametunukiwa tuzo ya heshima ya  “Humanitarian Honoree” kwenye tuzo za Black Entertainment Televisheni (BET)

Yafuatayo ni majina ya washindi wa tuzo za BET 2018.

Best Female R&B / Pop Artist Award
Beyonce (WINNER)
SZA
H.E.R.
Rihanna
Kehlani

Best Male R&B / Pop Artist Award
Bruno Mars (WINNER)
Chris Brown
The Weeknd
Khalid
Daniel Caesar

Best Group Award
Migos (WINNER)
A Tribe Called Quest
N.E.R.D.
Rae Sremmurd
Chloe X Halle

Best Collaboration Award
Bruno Mars feat. Cardi B – “Finesse (Remix)”
DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts” (WINNER)
DJ Khaled feat. Jay-Z, Future & Beyonce – “Top Off”
Cardi B feat. 21 Savage – “Bartier Cardi”
French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
Kendrick Lamar feat. Rihanna – “LOYALTY.”

Best Male Hip Hop Artist Award
Drake
Kendrick Lamar (WINNER)
DJ Khaled
Jay-Z
J. Cole

Best Female Hip Hop Artist Award
Cardi B (WINNER)
Nicki Minaj
Remy Ma
DeJ Loaf
Rapsody

Video of the Year Award
Drake – “God’s Plan” (WINNER)
Cardi B – “Bodak Yellow”
Bruno Mars feat. Cardi B – “Finesse (Remix)”
DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
Migos feat. Drake – “Walk It Talk It”

Video Director of the Year Award
Benny Boom

Director X
Ava Duvernay (WINNER)
Chris Brown
Dave Meyers

Best New Artist Award
SZA (WINNER)
H.E.R.
Daniel Caesar
GOLDLINK
A Boogie Wit Da Hoodie

Dr. Bobby Jones Best Gospel/Inspirational Award
Lecrae feat. Tori Kelly – “I’ll Find You” (WINNER)
Snoop Dogg feat. B. Slade – “Words Are Few”
Ledisi & Kirk Franklin – “If You Don’t Mind”
Marvin Sapp – “Close”
Tasha Cobbs Leonard feat. Nicki Minaj – “I’m Getting Ready”

The Best International Act Award
Booba (France)
Cassper Nyovest (South Africa)
Dadju (France)
Davido (Nigeria)​ (WINNER)
Distruction Boyz (South Africa)
Fally Ipupa (Congo)
J Hus (U.K.)
Niska (France)
Tiwa Savage (Nigeria)
Stefflon Don (U.K.)
Stormzy (U.K.)

Best Actress Award
Tiffany Haddish (WINNER)
Lupita Nyong’o
Issa Rae
Angela Bassett
Letitia Wright
Taraji P. Henson

Best Actor Award
Chadwick Boseman (WINNER)
Michael B. Jordan
Donald Glover
Sterling K. Brown
Denzel Washington
Daniel Kaluuya

Young Stars Award

Yara Shahidi (WINNER)
Ashton Tyler
Caleb McLaughlin
Lonnie Chavis
Marsai Martin
Miles Brown

Best Movie Award
“Black Panther” (WINNER)
“Girls Trip”
“A Wrinkle in Time”
“Detroit”
“Mudbound”

Sportswoman of the Year Award
Serena Williams (WINNER)
Venus Williams
Skylar Diggins-Smith
Candace Parker
Elana Meyers Taylor

Sportsman of the Year Award
Stephen Curry
LeBron James (WINNER)
Kevin Durant
Dwyane Wade
Odell Beckham Jr.

 

D'banj apata pigo, ampoteza mwanae
Real Betis yaingilia kati usajili wa Yerry Mina