Kufuatia ghasia zinazoendele nchini Afrika Kusini, Serikali kupitia ubalozi ulioo nchini humo unaendelea kufuatilia na kuwasiliana kwa karibu na viongozi wa jumuiya mbalimbali za watanzaniawaishio Afrika Kusini, mamlaka na vyombo vya usalama ili kufahamu endapo kama kuna mtanzania yeyote aliyehusushwa aukudhurika na ghasia hizo.

Aidha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa afrika Mashariki kupitia ubalozi wake nchini humo inawatoa hofu Watanzania kuwa mpaka sasa hakuna Matanzania aliyedhurika.

Azam kuwakosa watatu wakiikabili Simba SC
Askari JWTZ akamatwa kwa tuhuma za mauaji