Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria Bungeni, leo Julai 1, 2017 inafanya kikao cha Marekebisho ya Sheria sita katika sekta ya Madini na Petroli. Marekebisho hayo ni kufuatia ripoti ya Kamati Maalumu ya uchunguzi wa Makinikia iliyoundwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kuchunguza mchanga wa madini uliokuwa ukisafirishwa kwenye makontena kwenda nje ya nchi.

Kikao hicho kinafanyika Jijini Dodoma katika ukumbi wa Pius Msekwa. Tazama hapa moja kwa moja muda huu

Baba yake Michael Jackson apata ajali ya gari, afya yake yaripotiwa
Trump awatolea uvivu Korea Kaskazini, ‘imetosha’