Wabunge wamepitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ya jumla ya shilingi Trilioni 34.88 mara baada ya kuwasilishwa na Waziri wa Fedha Philip Mpango.

Bajeti hiyo imepitishwa kwa kura 304 za ndio kati ya kura 371 zilizopigwa na wabunge waliokuwepo bungeni jijini Dodoma.

Sera za Nyalandu na Mchungaji Msingwa Wanavyoutaka Urais 2020

Ikumbukwe kuwa Juni 11 mwaka huu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango aliwasilisha hotuba ya bajeti bungeni na baadaye kujadiliwa na Wabunge mbalimbali.

Serikali yapiga marufuku Mgonjwa kudaiwa damu kabla ya huduma

Waziri Jafo amlilia Mkurugenzi wa Babati, Hamisi Malinga

FC Bayern Munich wampiga marufuku Thomas Muller
Balozi Karume ajitosa Urais Zanzibar (CCM)