Bila shaka ulisherehekea salama Sikukuu ya Wakulima maarufu kama Nanenane. Tunakukaribisha kusoma habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti, leo, Agosti 9, 2020.

Usikose kufuatilia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media, muda mfupi ujao.

Watoto wafariki wakiwa wamelala, mama aliwasha jiko la mkaa kupata joto
Ndege yenye abiria 190 yaanguka uwanja wa ndege India