Mkutano wa kumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza rasmi leo Jumanne Januari 30, 2018, na kumalizika Februari 9, 2018.

Moja ya shuguli ambazo zitafanyika leo ni pamoja na kiapo cha uaminifu kwa wabunge wapya, pamoja na maswali mbali mbali. Bofya hapa kufuatilia yanayojiri muda huu

Mtoto wa miezi nane abakwa, jiji lagubikwa majonzi
Video: Lowassa, Sumaye wamcharukia Kigwangalla, Sababu Magufuli kumteua Dk. Slaa

Comments

comments