Michezo Mfungaji Bora Wa Ligi Ya Afrika Kusini Afariki Dunia 7 years ago Mfungaji bora wa Ligi kuu nchini Afrika Kusini, PSL, Richard Henyekane amefariki dunia baada ya kuitumikia Ligi hiyo. Richard Henyekane aliibuka mfungaji bora baada ya kufanikiwa kufunga mabao 19 kwenye msimu wa 2008/09 wa Ligi kuu nchini humo. Mwanamke Kusimamia Sheria 17 Za Soka Simba Vs Yanga Manny Pacquiao aomba radhi lakini aapa kufa na msimamo wake