Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bright anaetamba na wimbo wake wa Aibu amesema kuwa ameva nguo moja wiki nzima baada ya nguo zake kupitiwa na mafuriko.

Aidha ameongeza kuwa hafanyi kiki ili kujulikana anafanya kazi nzuri ili ajulikane ndani na nje ya nchi ili kutangaza mziki wa bongo kimataifa.

Amesema hayo kupitia exclusive ya Dar24 ili kuona mahojiano haya Bofya hapa ,…

Mama mjamzito ajipasua, amtoa mtoto
DC aagiza kila mwananchi kudhibiti mimba kwa wanafunzi

Comments

comments