Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani leo Julai 28, 2021 anazindua chanjo ya kujikinga na Uviko 19 Johnson & Johnson ambapo atakuwa mtanzania wa kwanza kupata chanjo hiyo ambayo itawafikia watanzania na itapatikana katika vituo maalumu.

Ujumbe wa Mch.Lusekelo kuhusu chanjo ya Corona
Serikali mpya Lebanon kuundwa na Waziri mkuu wa Zamani