Klabu ya Real Madrid kutoka Hipania imetwaa ubingwa wa mashindano ya vilabu bingwa barani Ulaya UEFA mara baada ya kuikung’uta timu ya Juventus ya Italy goli 4-1

Aidha, katika mchezo huo uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa mpira duniani kote, ulikuwa mkali na wa kusisimua ambapo timu zote zilicheza kwa kushambuliana huku kila mmoja akijilinda.

Hata hivyo, katika mchezo huo uliochezwa katika dimba la Cardiff nchini Wales, Madrid ilifanikiwa kuondoka na ushindi huo wa magoli manne huku Juventus ikiambulia goli moja hivyo Madrid kukabidhiwa kombe.

Uteuzi wa IGP Sirro wazua shangwe mkoa wa Pwani
Chukueni hatua kali dhidi ya wasiowasilisha michango-Samia Suluhu