Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amemuapisha Mbunge Mteule Angellah Kairuki aliyeteuliwa jana Oktoba 2, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan.

Angellah Kairuki.

Hafla hiyo imefanyika hii leo Septemba 3, 2022 katika Ofisi ndogo ya Bunge Jijini Dar es Salaam ambapo pia Rais Samia naye amewapisha Mawaziri watatu aliowateua ambao ni Dkt. Stergomena Tax, Innocent Bashungwa, na Mbunge huyo, Angela Kairuki.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akiwa na Naibu Spika, Mussa Azzan Zungu (wa pili kushoto) ngellah Kairuki (wa kwanza kushoto), na watendaji wa ofisi ya Bunge (kulia).
UN yataka uchunguzi vifo 174 Uwanja wa Mpira
Habari kuu kwenye magazeti ya leo Octoba 03, 2022