Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro amesema wote waliofanya vurugu katika uwanja wa Taifa Dar es salaam watakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria.

Kamanda Sirro amesema Jeshi la Polisi linashirikiana na wataalamu ili waanze kuwashughulikia mmoja mmoja na jarada limesha funguliwa kwa ajili ya wale wote walioshiriki katika vurugu za jumamosi, Oktoba 1, 2016 katika ya mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga na kusababisha uhalibifu  mkubwa viti uwanjani hapo. Bofya hapa kutazama video

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo awasili nchini kwa ziara ya siku tatu
Francesco Guidolin "Out", Bob Bradley "In"