Rungu la JPM laibua Kontena zingine…, ni za mchanga wa dhahabu zikiwa tayari kusafirishwa kwenda juu, Prof. Lipumba aendelea kumkomalia Maalim Seif, Kigogo Tume ya Utawala Bora aonya viongozi…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 26, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Maalim Seif azipiga kufuli akaunti za CUF, Lipumba alalama
Video: 'Hatujihusishi na uhalifu' - Waendesha Boda boda