Video: Trilion 1.3 zilizoombwa na Wizara ya Elimu na Mgawanyo Wake
8 years ago
May 26 2016 Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imewasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 kupitia kwa Waziri wake Joyce Ndalichako.