Tuhuma za rushwa ajira 600 Dangote, bila shilingi 300,000 hakuna usaili, madereva daladala Dar wajazana, JPM ajibu mapigo, Lissu adai kifungo cha Mbunge ni vita… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 13, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Lowassa: Kuimarika kwa ukawa kunawatia hofu CCM
JB: Millioni zimenitoka maandalizi kiu ya kisasi