Bungeni wiki iliyopita kulizua mjadala juu ya wasanii wa maigizo ya filamu hapa nchini kutokufanya vizuri hali iliyopelekea wasanii hao kuishi maisha magumu.

Hali hii ni tofauti kabisa na nchi za wenzetu ambao kupitia uigizaji wa filamu kumewafanya wawe matajiri wakubwa sana hapa duniani kiasi cha kumiliki mabilioni ya pesa.

Hapa nimekuandalia waigizaji 10 matajiri zaidi duniani wakiongozwa na Shar Rhuk khan aliyepata umaarufu kwenye filamu ya kuch kuch Hotae.

Shar Rhuk khan ametajwa kuwa na utajiri wa Dola 600 milioni sawa na Trilioni 1,382,761,236,640.8 kwa pesa ya kitanzania.

Tazama hapa chini.

Mfalme amuoa mlinzi wake na kumpa hadhi ya Malkia
Rais Magufuli alivyoguswa na kifo cha Mzee Mengi, "Nitamkumbuka sana..."

Comments

comments