Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa (70) amefariki dunia hii leo Januari 10, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete iliyopo jijini Dar es Salaam.
Taarifa za kifo cha Lowassa zimetolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango.

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa (70).

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Februari 11, 2024
Balozi Shelukindo aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano ISPDC