Kaimu Meneja Mahusiano wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Grace Michael ametangaza kurejea kwa huduma za Bima kwa Wanachama wa NHIF kwa Hospitali ambazo awali zilitangaza sitisho.

Slaa: Wanawake wana mchango mkubwa katika sekta ya Madini
Magesa: Ulipaji kodi ya ardhi ni wa lazima