Shirika la Umeme Nchini – TANESCO, limeutaarifu umma kuwa kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha baadhi ya maeneo kukosa huduma ya umeme.

Taarifa hiyo iliyotolewa na Kueugenzi ya Mawasiliano na uhusiano kwa umma, imeeleza kuwa Wataalamu wa Shirika wanaendelea na jitihada ili kurejesha huduma hiyo.

Umeme: Dkt. Biteko akagua mitambo ya Kidatu
Makazi ya Waziri Mkuu yashambuliwa kwa bomu