Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo Aprili Mosi, 2024 ametembelea Kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu, kilichopo Wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.

Akiwa katika kituo hiko, Biteko amekagua matengezo ya mitambo, kufuatia hitilafu iliyojitokeza kwenye Gridi ya Taifa na kupelekea maeneo mengi ya Nchi kukosa huduma ya umeme.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Aprili 2, 2024
Hitilafu Gridi ya Taifa chanzo kukosekana kwa Umeme