Burudani Muziki: Higher Live Version – Nikki wa Pili, produced by Dj D-Ommy 8 years ago DJ D-Ommy wa Clouds Fm ametayarisha live version ya wimbo wa Nikki wa Pili ‘Higher’ ambao ulipikwa ndani ya studio za B-Hitz na producer Pancho Latino. Usikilize hapa, utaupenda: Kingunge aomba marais wastaafu kuzungumza na Rais Magufuli jinsi ya kuzuia UKUTA Video: Jengo kubwa la hosptali lenye thamani ya bilioni 8.8 kujengwa Dar