Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limekanusha taarifa ambazo zilisambaa jana katika mitandao ya kijamii kuwa baraza hilo limeufungia wimbo wa “One time” ulioimbwa na msanii mkongwe nchini Judith Wambura maarufu “Lady Jaydee”.

NEC yaongeza muda wa kuapisha mawakala
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Oktoba 22, 2020